Logo
Developed by JoomVision.com

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Kushoto) akiwa ameongozana na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Pinda walipo mpokea katika makazi yao yaliyopo Zuzu Nnje Kidogo ya Mjini Dodoma June 17,2017 kuhudhuria Misa ya kumbukumbu ya Marehemu Mzee Exavery Pinda Baba Mzazi wa Mizengo Pinda, Pamoja nakuongoza Uchangiaji wa Ujenzi wa Nyumba ya Paroko na Ukarabati wa Kanisa la Parokia...

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Juni 15, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Wenya Ulemavu, Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma, Juni 15, 2017.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi, Mohammed Abdullah Aden (12) wa Somalia hundi ya shilingi milioni 15,750,000/= mshindi wa kwaza wa mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11,2017.

Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 11 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11,2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakr Zubeir bin Ally (kulia) na Sheikh Sharif Abduqadir Mohamed Ahmed Al Ahdar ambaye ni Rais wa Taasisi ya Al - Hikima Foundation na Mlezi Mwenza wa Taasisi hiyo, katika Mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11,2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza ripoti ya Mkemia Mkuu wa Serikali,Samwel Manyele (kulia) ya chunguzi wa Salfa kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Juni10,2017. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt, Mathew Mtigumwe.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Semina ya Mtandao wa Wabunge Africa Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa (APNAC) Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Naibu Spika Dr Tulia Apsoni na Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Utumishi na Utawala Bora Anjela Kairuki, Kulia ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge Tawi la Tanzania walio katika Mapambano Dhidi ya Rushwa...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Balozi wa Morocco nchini, Mheshimiwa Abdelilah Benrwayane katika futari aliyoiandaa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Juni 8, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mtrekta aina URSUS yanayounganishwa kwenye karakana ya TAMCO mjini Kibaha Mei 23.2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa wakati alipomtembelea Rais huyo Mstaafu nyumbani kwake jijini Dar es salaam Mei 20, 2017.

Other News and Events

VISION FUND YAUNGANISHA WAKULIMA 9000 KUPITIA UWEZESHAJI WA MIVARF

Programu ya Miundo Mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF) imeijen...

Read more

MIVARF YAWAONGEZEA KIPATO WAKULIMA 56,637 MKOANI KAGERA

Program ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF) imewajen...

Read more

News in picture

Developed by JoomVision.com

Mratibu wa Kitaifa wa Mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mifumo ya Tahadhari Bw.Daniel Alfei akizungumza na baadhi ya wanufaika wa mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mifumo ya Tahadhari (hawapo pichani) walipotembelea kufanya tathimini ya utekelezaji wa mradi huo Wilayani Arumeru Juni 09, 2017.

Msaidizi wa masuala ya Hali ya Hewa Bw. Mbaraka Shaghira (katikati)akieleza matumizi ya Kifaa cha kupima upepo kwa Maafisa kutoka Ofisiya Waziri Mkuu walipotembelea Mradi wa Kuimarisha Taarifa za Hali ya Hewa na Mifumo ya Tahadhari ili kuona Utekelezaji wake eneo la Kituo cha Tafiti cha Lyamungu Wilayani Hai.

Baadhi ya Wabunge wakiwa pamoja na Watumishi wa Serekali katika Sherehe za Mei Mosi zilizo fanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro 01/5/ 2017 Katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizukumza na Makatibu Wakuu wa Ofisi yake nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kuhairishwa kwa mkutano wa 11 Aprili 6, 2017 wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Erick Shitindi, katikati Dkt.Hamisi Mwinyimvua (Sera na Uratibu) na Bi.Maimuna Tarishi.

MINISTERS IN THE PRIME MINISTER'S OFFICE

Hon.

Deputy Minister (PMO)

Hon. J.MHAGAMA

Minister of State (PMO)

Hon. A. MAVUNDE

Deputy Minister (PMO)

 

Video

Our website is...
 
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday137
mod_vvisit_counterYesterday149
mod_vvisit_counterThis week878
mod_vvisit_counterLast week1036
mod_vvisit_counterThis month3081
mod_vvisit_counterLast month4531
mod_vvisit_counterAll days475297
Copyrights ©2013, The United Republic of Tanzania, Prime Minister's office All Rights Reserved