Logo
Nagu akabidhi hundi ya sh. mil 6 kwa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wahitimu wa vyuo vikuu
Friday, 31 May 2013 15:12    PDF 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu akimkabidhi Bi. Selina Otacho mshiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana wahitimu wa vyuo vikuu nchini mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 6 zilizotolewa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kutokana na wazo lake la mradi wa utengenezaji wa sabuni za maji kushinda baada ya kupitiwa na wataalam wa Baraza la Uwezeshaji (NEEC) na Kituo cha Ujasiriamali cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam tarehe 31 Mei 2013.

 
Our website is...
 
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday105
mod_vvisit_counterYesterday117
mod_vvisit_counterThis week284
mod_vvisit_counterLast week825
mod_vvisit_counterThis month2169
mod_vvisit_counterLast month3455
mod_vvisit_counterAll days513804
Copyrights ©2013, The United Republic of Tanzania, Prime Minister's office All Rights Reserved