Logo
Wednesday, 16 August 2017 00:00    PDF 

Waziri Mkuu Majaliwa ziarani Cuba

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea Cuba kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Akiwa Cuba, Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na kilimo.

Aidha, Cuba ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania kisiasa, kijamii na kiuchumi.

-ends-

 

 
Our website is...
 
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday105
mod_vvisit_counterYesterday117
mod_vvisit_counterThis week284
mod_vvisit_counterLast week825
mod_vvisit_counterThis month2169
mod_vvisit_counterLast month3455
mod_vvisit_counterAll days513804
Copyrights ©2013, The United Republic of Tanzania, Prime Minister's office All Rights Reserved